Monday, August 2, 2010

SABODO AICHANGIA CHADEMA MILIONI 100

CHADEMA OFFICIALLY DECLARES DR.SLAA PARTY'S PRESIDENTIAL CANDIDATE Part I

Chadema yamsimamisha Mwanazuoni kuwa mbunge Kasulu Magharibi

Chama cha CHADEMA kimemteua Mwanazuoni wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine,Basilius Ntizirusha Budida kuwa mgombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Magharibi. Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Kasulu , Emmanuel Petro Gahagim, alisema Basilius ameteuliwa kuwa mgombe kupitia mkutano mkuu wa jimbo uliofanyika Julai 27 mwaka huu katika ofisi za chama zilizopo maeneo ya Buhigwe jimboni humo. Mwenyekiti huyo alisema viongozi wa matawi, kata na jimbo wa chama hicho walimpitisha mgombea huyo baada ya kumteua

Mapokezi ya Dr. Slaa Musoma

Vicent akiwa na Dr. Slaa katika viwanja vya mkendo
Wadau wakiwa makini
Vicent akiwa na Dr. Slaa Jukwaani

Vijana wameamua - Vicent akiwa na mmoja wa wakereketwa wa Chadema

Dr. Slaa akisindikizwa kusaini Kitabu cha wageni

Rwakatare na Mbowe wakisalimiana na Vicent na wananchi waliokuja kuwapokea

Wadau wakijadili mambo mbalimbali