Sunday, October 31, 2010

Vicent ashinda kwa kishindo Musoma


Taarifa rasmi iliyosomwa na msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Musoma Mjini mida ya saa 11:30 asubuhi ya leo zinasema VICENT NYERERE kashinda kiti cha Ubunge Musoma mjini kwa tiketi ya CHADEMA baada ya kumbwaga vibaya Mbunge wa zamani kwa tiketi ya CCM ndugu Vedasto Mathayo Manyinyi

Vicent Nyerere - Chadema 21,335 (56.71%)

Vedasto Mathayo Manyinyi - CCM 14,072 (39.38%)

Mustafa Juma Wandwi - CUF 253(0.71%)

Chrisant Ndege Nyakilita (Democracy Party) 53 (0.15%)

Tabu Said Machibya (NCCR) 19(0.05%)

Monday, October 25, 2010

Dr. Slaa Live

Ziara ya Kumnadi Vicent Nyerere - Jimbo la Musoma Mjini

Zitto na Vicent wakijadili

Zitto na Vincent wakiwa Jukwaani

Zitto na Vicent wakiwa sambamba

Baadhi ya wakereketwa wakifuatilia sambamba hotuba

Hii ni moja ya beji

Vicent akimwaga sera Baadhi ya wakereketwa

Moja ya handmade mabango

Palikuwa hapatoshi