Sunday, October 31, 2010

Vicent ashinda kwa kishindo Musoma


Taarifa rasmi iliyosomwa na msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Musoma Mjini mida ya saa 11:30 asubuhi ya leo zinasema VICENT NYERERE kashinda kiti cha Ubunge Musoma mjini kwa tiketi ya CHADEMA baada ya kumbwaga vibaya Mbunge wa zamani kwa tiketi ya CCM ndugu Vedasto Mathayo Manyinyi

Vicent Nyerere - Chadema 21,335 (56.71%)

Vedasto Mathayo Manyinyi - CCM 14,072 (39.38%)

Mustafa Juma Wandwi - CUF 253(0.71%)

Chrisant Ndege Nyakilita (Democracy Party) 53 (0.15%)

Tabu Said Machibya (NCCR) 19(0.05%)

No comments:

Post a Comment