Monday, August 2, 2010

Chadema yamsimamisha Mwanazuoni kuwa mbunge Kasulu Magharibi

Chama cha CHADEMA kimemteua Mwanazuoni wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine,Basilius Ntizirusha Budida kuwa mgombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Magharibi. Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Kasulu , Emmanuel Petro Gahagim, alisema Basilius ameteuliwa kuwa mgombe kupitia mkutano mkuu wa jimbo uliofanyika Julai 27 mwaka huu katika ofisi za chama zilizopo maeneo ya Buhigwe jimboni humo. Mwenyekiti huyo alisema viongozi wa matawi, kata na jimbo wa chama hicho walimpitisha mgombea huyo baada ya kumteua

No comments:

Post a Comment