Monday, July 19, 2010

Hayawi hayawi yamekuwa! Hatimaje Vicent arudisha fomu...


Angalia vizuri picha hiiWanaMusoma wakimsindikiza Vicent

Baba na Mwana

Msafara ukiwa Mitaani
Nikirudisha fomu mchana kweupeeee
Nikiwa karibu na Ofisi za Chama
Vijana wa CCM wakirudisha kadi zao na kuchukua za Chadema

Nao walikuwepo

Wakazi wa Buhare waliniomba nishuke japo wanifute jasho

No comments:

Post a Comment